↧
UNAHISI NI KWANINI MDADA HUYU ANAJIPIGA PICHA KAMA HIZI NA KUZIWEKA MTANDAONI?!!!!
↧
JIONEE HAPA KWANINI WANAULE LEO HII WANAIPIGIA KELELE PICHA HII YA SHISLOLE AKIWA BEACH AMEJILANA NA TAULO PEKEEE>>>>ICHEKI HAPA>>>>>UWII>
<<NEXT 1>>
<<NEXT 2>>
<<NEXT 3>>
<<NEXT 4>>
<<NEXT 5>>
↧
↧
HAWA MADADA WA MJINI SIJUI WAMEVULUGWA NANI SASA HII NDO STAIL GANI YA KUTOA ZAWADI KWA KUSAULA NGUO ZOTE JIONEE HAPA==
↧
AMANI WADADA MTATUUA>>>HEBU JIONEE MAPIGO YA BINTI HUYU KWA NYUMA>>>>UWII
↧
HAYA NDIYO MAMBO MACHAFU ZAIDI YANAYOFANYIA USIKU NA HILI NDILO LILILOSHIKA VICHWA VYA HABARI SIKU YA LEO...CHEKI VIDEO HAPA>
↧
↧
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU LOWASSA APEWA KASHIFA MPYA NA NZITO!!
Kinachozungumzwa ni kwamba Lowassa ndiye mwanzilishi wa shule hizo huku baadhi ya vijana wenye umri kati ya miaka 18 hadi 23, wakitangaza kuwa bila Lowassa wasingepata nafasi.
Vijana hao wanafikiri hivyo kwa madai kuwa ni Lowassa ndiye aliyekuna kichwa kubuni wazo hilo la kuanzishwa kwa shule za kata ambazo wana Ukawa walipokuwa katika Bunge la Tisa na hata la 10 walikuwa wakiziita shule za yeboyebo kwa madai kuwa hazifai kwa lolote lakini baada ya Lowassa kuingia Ukawa, sasa ni kete yao kisiasa.
Maneno ya Lowassa na wapambe wake kuwa ndiye aliyefanya kazi hiyo ni kupotosha ukweli na kufuta historia halisi ya nani hasa mbunifu wa wazo hilo, mwezi Machi mwaka 2006.
Chimbuko la shule za kata
Kiini cha wazo la kuanzishwa kwa shule za kata kinahusisha historia ndefu tangu utawala wa awamu ya kwanza chini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kupitia tume ya kupitia mfumo wa elimu ya Tanzania aliyoiunda Novemba, mwaka 1980, na kuanza kazi rasmi mwanzoni mwa mwaka 1981.
Tume hiyo ilijulikana kama Tume ya Jackson Makweta, kama Mwenyekiti na Katibu wake alikuwa ni Musel Muze, na miongoni mwa wajumbe wa tume hiyo ni pamoja na maprofesa watatu na wajumbe wengine takriban tisa.
Sitaki kwenda kwa undani kuhusu kazi au hadidu rejea za tume hiyo kwa leo, lakini mojawapo ya mapendekezo ya msingi yaliyozaa wazo la kuanzishwa kwa shule za kata ni taarifa ya tume hiyo iliyokuwa na kurasa 354 nje ya viambatanisho, iliyolenga kufanyia marekebisho mfumo mzima wa elimu wa nchini, kwa kupanua kwanza elimu ya sekondari.
Katika mapendekezo hayo mojawapo ya hatua iliyopendekezwa na Tume ya Makweta ni kuhakikisha kwamba ifikapo mwaka 1985, kila tarafa iwe na shule ya sekondari na baadaye kila kata ziwe na shule ya sekondari. Pia tume ilipendekeza baada ya miaka mitano, yaani mwaka 1990 upanuzi wa elimu ya juu uanze rasmi kwa kasi.
Katika pendekezo hilo, Tume ya Makweta iliitaka serikali kupandisha ‘ngazi’ vyuo vya ufundi vilivyokuwa maarufu kipindi hicho kama Dar Tec, Arusha Tec, Mbeya Tec, Musoma Tec kuwa vyuo vikuu, ili kuongeza nafasi ya elimu ya juu na kufanya Tanzania iendane na mataifa mengine katika elimu ya juu.
Kwa kuwa wakati huo kulikuwa na chuo kikuu cha umma kimoja tu, Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) na tawi lake dogo la Morogoro, tume pia ilipendekeza tawi hilo lipanuliwe kuwa chuo kikuu kinachojitegemea kazi ambayo ilizaa matunda ya kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), mwaka 1984.
Yapo mengi yaliyojiri katika taarifa ya Tume ya Makweta iliyowasilishwa kwa Rais Julius Nyerere, mwezi Machi mwaka 1982, ikiwamo kuhakikisha Kiswahili na Kiingereza ndizo ziwe lugha rasmi za kutumia kufundisha katika ngazi zote ili kuwezesha Tanzania kwenda sawa na mataifa mengine. Kwa kuwa sitaki kujadili kazi na utekelezaji wa tume, kwa ujumla sitakwenda mbali zaidi ya hapo kwa kuwa iko siku nitaandika juu ya utekelezaji wa maoni ya tume hiyo kwa wakati muafaka.
Mkapa na mapendekezo ya ya Makweta
Alipoingia madarakani Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, mwaka 1995 alianza kutekeleza kwa vitendo maoni ya Tume ya Makweta kwa kubuni Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) na Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES).
Kwa wale wanaojua watakumbuka kuwa MMEM ililenga kupanua nafasi za shule za msingi na kuboresha mazingira ya shule ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa vitendea kazi huku MMES, pia ikiwa na lengo hilo kwa shule za sekondari.
Ili kutekeleza azma yake kwa ufanisi mkubwa Rais Mkapa kama kiongozi wa nchi alielekeza kuwepo kwa awamu ya kwanza ya mipango hiyo yaani MMEM na MMES, ambapo awamu ya pili iliangukia katika serikali ya awamu ya nne.
Kikwete na ujenzi wa shule za kata
Baada ya Serikali ya Awamu ya Tatu kukamilisha kazi yake na kukabidhi kijiti cha kuongoza nchi kwa Serikali ya Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kiwete, Novemba 2005, Edward Lowassa aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku Waziri wa Elimu akiteuliwa Magareth Sitta na Naibu wake akiwa Mwantumu Mahiza (wote hao wakiwa ni walimu).
Mwezi Machi mwaka 2006 kulifanyika mkutano wa watendaji wa serikali katika Hoteli ya Blue Peal, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Katika mkutano huo, kama ilivyo kwa ratiba ya wakubwa Lowassa baada ya kufungua mkutano husika iliwadiwa wakati wa kunywa chai, Naibu Waziri wa Elimu Mahiza, alifanya kile kinachoitwa ujasiri kwa kumwomba Waziri Mkuu wakati huo kumsikiliza kidogo ili amweleze shida yake kwa niaba ya waziri wake.
Katika maeelezo yake Mama Mahiza alimwambia Lowassa kuwa; “Sisi katika Mkoa wa Dar es Saalam tuna shida, tuna watoto waliofaulu lakini hawana nafasi ya kuendelea na masomo sasa tunaomba kutoa wazo la kuwapatia nafasi lakini inahitaji ushauri wako mheshimiwa.”
Baada ya maelezo hayo na ufafanuzi wa kina kidogo, Lowassa alimtaka Waziri na timu yake kufika ofisini kwake kesho yake saa nane mchana ili wamweleze kwa undani ni mikakati gani waliyokuwa nayo kuhakikisha watoto hao wanaendelea na elimu ya sekondari, baada ya kufaulu lakini hawawezi kusoma kutokana na ufinyu wa nafasi za sekondari kipindi hicho.
Nataka niweke wazi kuwa wakati huo, Mkoa wa Dar es Salaam ulikuwa na shule za sekondari za serikali tatu tu. Leo mkoa huo una shule za sekondari 112.
Ufaulu ulikuwa ni watoto 33,775 sawa na asilimia 71.2 kati ya 47,459 waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2005 ufaulu uliotokana pia na maboresho ya MMEM huku MMES yakiwa bado hayajatekelezwa vya kutosha kwenda sambamba na ongezeko la ufaulu.
Kati ya wanafunzi 33, 775 waliofaulu ni watoto 25,457 tu ndio waliopata nafasi ya kuendelea na masomo hivyo kufanya wanafunzi 8,300 kukosa nafasi ya kuendelea na masomo. Sitaki kueleza kwa undani mjadala uliokwepo kabla ya Mahiza kumvaa Lowassa kuhusu hali hiyo lakini nitagusia tu kwa ufupi.
Kabla ya Naibu Waziri Mahiza kumvaa Lowassa, aliwaita wabunge watatu wa majimbo kupitia CCM Mkoa wa Dar es Salaam ambao wote bado wapo, Abbas Mtemvu Jimbo la Temeke, Iddi Azan Jimbo la Kinondoni na Mussa Azan Zungu Jimbo la Ilala, na kuwaambia hali halisi kuwa watoto zaidi ya 8,000 wamefaulu lakini wamekosa nafasi ya kuendelea na elimu ya sekondari na hapo, Mahiza akawaeleza kuwa atamvaa Lowassa kumpa wazo la kuondokana na tatizo hilo.
Jibu la Lowassa kwa Mahiza
Baada ya maelezo hayo ya Mahiza kwenye chai, walipotoka hapo walikwenda moja kwa moja kujifungia ofisini yeye na wataalamu karibu wote wa ngazi ya juu hadi usiku wa manane, na kuingia tena alfajiri kwa ajili ya kuandaa kile ambacho Waingereza wanakiita “paper” ya kwenda kwa Waziri Mkuu Lowassa saa nane mchana.
Takwimu zinaonesha kuwa saa 8 kamili mchana Magret Sitta, Mahiza na watalamu wao walitinga kwa Lowassa kuwasilisha paper ya nini tatizo na ni nini wanachotaka kufanya kukabiliana na tatizo.
Walichowasilisha kwa Lowassa
Kwanza walitoa takwimu za ufaulu wa wanafunzi wa shule za msingi kwa nchi nzima wakiainisha kila mkoa kuanzia waliofanya mtihani, waliochaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari na waliokosa nafasi kutokana na ukosefu wa shule za sekondari.
Pili walitoa takwimu maalumu kwa Mkoa wa Dar es Salaam peke yake kutokana kuwa na idadi kubwa zaidi huku serikali nzima ikiwa katika Jiji hilo kubwa Afrika Mashariki. Walitumia mfano wa Dar es Salaam kutaka kujenga hoja yao ambayo kiini chake kilikuwa ni Mahiza kutaka kufanya mambo mawili.
Jambo la kwanza alilopendekeza Mahiza kwa Lowassa ni kuomba kubadilishwa kwa sheria ili Wizara ya Elimu na Ufundi iruhusiwe kutumia fedha za MMES awamu ya pili (MMES 2) kujenga shule mpya za sekondari kwa haraka ili wanafunzi wote waliokosa nafasi waendelee na masomo badala ya fedha hizo kutumika kuboresha shule za zamani na kuwalipia ada watoto wanaotoka katika kaya masikini.
Pili alipendeleza wananchi wachangie kufyatua matofaili na kukusanya mawe, halmashauri za wilaya zichangie usafiri huku serikali kuu kupitia MMES 2 ikipeleka fedha kwa ajili ya mabati, saruji na misumari kukamisha madarasa hayo.
Wakati huo MMES awamu ya pili ilikuwa na lengo la kujenga shule 1,600 katika kipindi cha miaka mitano nchi nzima hatua ambayo bado isingesaidia kutatua tatizo kubwa lililokuwa limekumba taifa kwa wakati huo licha ya idadi hiyo kuwa ndogo mno kwa mahitaji ya nchi.
Mahiza alipata ujasiri huo kwa kuwa wakati huo alikuwa amemaliza kujenga shule ya sekondari ya sayansi kuanzia kidato cha tano hadi cha sita, ikiwa na vitu vyote Bagamoyo, kwa mfumo wa ushirikiano kati ya serikali na wananchi hivyo alikuwa na uzoefu kuhusu kile alichopendekeza kwa Lowassa.
Shule kama hiyo aliyojenga Mahiza zilitakiwa kujengwa katika kanda zote 11 za elimu nchini japo leo sitaki kujadili kama zipo kweli au imebakia hiyo ya Mahiza peke yake.
Kutokana na ‘paper’ hiyo Lowassa aliguswa na mpango huo na kutoa ruhusa kwa Wizara ya Elimu kuanza kutekeleza mpango huo japo ilimchukua muda mrefu kumwelewa Mahiza.
Kwa ufupi huo ndio mwanzo wa ujenzi wa shule za sekondari za kata, sasa swali langu la msingi hapa ni je, kati ya Mahiza kwa maana ya Wizara ya Elimu na Lowassa, nani aliyeanzisha shule za sekondari?
Nataka Lowassa atuambie ukweli kuhusu hili na akiwa kama mkristo mzuri atubu katika hili. Lakini pia awaombe radhi Watanzania kwa kujitwalia sifa isiyomhusu bila kuwataja wahusika wakuu.
Lowassa angesema kuwa yeye ni miongoni mwa watendaji wa serikali walioshiriki kuhimiza ujenzi huo wala isingekuwa shida na wala nisingediriki kushika kalamu yangu inayopatika kwa nadra siku hizi kutokana na kubanwa na majukumu mengine ya kitaifa, kuandika juu ya hili.
Najua, natambua na nasema wazi kuwa mwaka 2007 baada ya Bunge la mwezi wa pili, Lowassa kama Waziri Mkuu alimsaidia Rais Kikwete kuratibu mgawanyiko wa mawaziri wote nchi nzima kusimamia uamuzi wa Wizara ya Elimu kuhakikisha shule hizo za kata zinakamilika na watoto wote waliofaulu kupata nafasi ya kuendelea na masomo wanapata fursa hiyo.
Uamuzi huo pia ulitokana na malalamiko kutoka kwa wabunge wengi kuwa watoto wamefaulu hawana pa kwenda, mimi nilikuwepo bungeni na anayenipinga akachukue hansard (kumbukumbu rasmi) za Bunge na orodha ya waandishi wa habari waliokuwapo wakati huo bungeni.
Lakini nikimnukuu Lowassa na mpambe wake namba mbili Frederick Sumaye, ambaye alikuwa waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10, alisema wazi kuwa hakuwa na nguvu ya kufanya lolote ndio maana walishindwa kufanya mabadiliko wanayotaka sasa.
Sasa swali langu kwa Lowassa kama kweli hiyo ndio hali halisi kumbe hata usimamizi wa mawaziri kwenda mikoani ilikuwa amri ya Rais Kikwete na si yeye?
Na kama sivyo basi yeye Lowassa na Sumaye watueleze wazi kuwa kama walikuwa na mamlaka makubwa ya kuanzisha vitu kama hivyo na vikafanikiwa kumbe yale yote wanayodai walishindwa ilikuwa ni uzembe wao, hivyo Lowassa hafai kuwa Rais kwa kuwa alishindwa?
Na kama sivyo basi, mafanikio ya shule za kata tumpe Mwantumu Mahiza/ Wizara ya Elimu na Rais Kikwete kama kiongozi wa nchi, aliyetoa kibali cha kubadilishwa kwa sheria, taratibu na kanuni za matumizi ya fedha za MMES -2. Mimi nasubiri Ikulu ya sasa kabla ya kuingia Rais mpya, basi Rais Kikwete ampe Mahiza tuzo ya ubunifu na kutekeleza maoni ya Tume ya Makweta vinginevyo mnaficha ukweli wa historia.
Tusisahau kuwa moja ya pendekezo la Tume ya Makweta ambayo Mahiza alisaidia ubunifu katika utekelezaji ni upanuzi wa elimu juu yaani vyuo vikuu kuanzia mwaka 1990. Kazi hiyo imefanyika na leo kila mmoja anashuhudia nafasi ya elimu ya juu. Sasa tunapigania ubora wa elimu na si nafasi ya elimu.
Nimalizie makala yangu kwa kusema tufanye siasa kwa lengo la kuomba ushindi lakini tuwaambie Watanzania ukweli tukimhofia Mungu tunayemtaja kuwa yuko pamoja nasi kila siku, kwani iko siku tutajibu kila neno tunalotamka.
Tusisahau kuwa kadri tunavyotumia udhaifu wa Watanzania walio wengi kutojua kufanya utafiti wa mambo muhimu na kuwaaminisha uwongo kama huo kwa maslahi ya kwenda Ikulu, ndivyo tunavyozidi kubomoa taifa badala ya kujenga kwa kuwa tutakuwa na wananchi wengi wasiojua ukweli kuhusu nchi yao na matokeo yake ni kukosekana kwa uzalendo kwa kuwa hawajui historia halisi ya mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanayowahusu.
Siasa za uwongo, za ubinafsi kama hizi ndizo zinatufanya tuamini kuwa Kenya na Uganda wanatuzidi kwa kila kitu jambo ambalo si kweli. Nimeshuhudia mara nyingi wataalamu kutoka Kenya na Uganda wakitiririka Mamlaka ya Mawasiliamo Tanzania (TCRA) kuja kujifunza vitu na mbinu mbalimbali kuhusu uendeshaji masuala ya mawasiliano na teknolojia mpya hapa kwetu.
Nimeshuhudia vijana wa Tanzania wakibuni mbinu za kisasa jinsi ya kutumia teknolojia kama Maxmalipo inayoongoza, lakini leo ukimuuliza kijana wa Tanzania kuhusu ubunifu huo, atakwambia ukitaka kujua mambo mengi kuhusu teknolojia nenda India au Afrika Kusini. Kisa kajazwa uongo na wanasiasa wanaojitafutia ufalme. Tuache siasa za uongo tuseme ukweli, tujenge taifa madhubuti kwa maslahi yetu sote - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/lowassa-akikumbuka-kutubu-atasema-na-hili-0#sthash.eTdG4hgf.dpuf
SOURCE KUTOKA GAZETI LA RAIA MWEMA
<<NEXT 1>>
<<NEXT 2>>
<<NEXT 3>>
<<NEXT 4>>
<<NEXT 5>>
<<NEXT 6>>
↧
IYOBO AKUBALI KUMUACHIA MTOTO MUME WA AUNT

MAKUBWA! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo amekubali kuruhusu mtoto aliyezaa na mwigizaji Aunt Ezekiel achukuliwe na mume wa mwigizaji huyo, Sunday Demonte aliyeko jijini Abu Dhabi akitumikia kifungo cha msala wa madawa ya kulevya.

Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo akiwa na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel.
Iyobo ametoa kauli hiyo mara baada ya Sunday ambaye imeelezwa kuwa anaweza kutoka wakati wowote kutokana na utii wake gerezani, kutuma salamu kuwa anafahamu Aunt amezaa na Moze lakini watambue kuwa mtoto huyo ni wake kwani kitanda hakizai haramu.“Ameweka wazi kabisa kuwa kitanda hakizai haramu hivyo Cookie (mtoto wa Aunt) hawezi kuwafanya watengane, atamchukulia kama mwanaye wa kumzaa kwa kumpa matunzo yanayostahili,” kilisema chanzo.
Alipoulizwa Moze kuhusiana na ishu hiyo, alijibu kwa kifupi: “Kama suala ni mtoto haina shida nitamuachia tu kwani si atapatikana mwingine, siyo ishu sana.”
<<NEXT 1>>
<<NEXT 2>>
<<NEXT 3>>
<<NEXT 4>>
<<NEXT 5>>
<<NEXT 6>>
↧
UNAAMBIWA MTONYO AMBAO MTOTO WA DIAMOND, TIFAH AMEINZIGA UNAWEZA KULISHA KIJIJI>>>JIONEE HAPA>
A few weeks ago, award winning Tanzanian singer Diamond Platinumz and his wife, Zari Hassan revealed the face of their little daughter, Tiffah,to the public in a much publicized occasion.
During the occasion, the Bongo star also disclosed that the little girl, who is barely two months old, had been appointed the brand ambassador of the National Microfinance Bank - Junior Account.
And as if that was not enough, Diamond has now shared a video taken during the glamorous occasion that shows Tiffah receiving loads of cash from those in attendance.
The money, which was being collected in a large basket, is probably enough to feed some villages.
Watch the video below:
During the occasion, the Bongo star also disclosed that the little girl, who is barely two months old, had been appointed the brand ambassador of the National Microfinance Bank - Junior Account.
And as if that was not enough, Diamond has now shared a video taken during the glamorous occasion that shows Tiffah receiving loads of cash from those in attendance.
The money, which was being collected in a large basket, is probably enough to feed some villages.
Watch the video below:
<<NEXT 1>>
<<NEXT 2>>
<<NEXT 3>>
<<NEXT 4>>
<<NEXT 5>>
<<NEXT 6>>
↧
SERIKALI YAKANUSHA TWIGA KUTOROSHWA KWA KUTUMIA NDEGE MBUGANI
SERIKALI imekanusha uvumi uliozagaa katika mitandao ya jamii wiki hii kuwa wanyama aina ya twiga wanatoroshwa kutoka pori tengefu la Loliondo na kupelekwa nje ya nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru ameziita habari hizo kuwa za uongo, uzushi na uchochezi.
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Dkt. Meru alisema jambo hilo si la kweli na linalenga kuleta chuki dhidi ya serikali.
“Picha zile zimetolewa katika intaneti na kuelezwa kuwa ni za Tanzania, si kweli. Ni picha za kughushi,” alisema Dkt Meru.
Pia alibainisha kwamba twiga wa Tanzania wanatumika kama nembo ya taifa na hawaruhusiwi kuwindwa hata kidogo, “sasa kusema wamewindwa na kusafirishwa ni uzushi na upotoshaji.”
Alisema ukweli uliopo ni kwamba Kampuni ya Ortero Business Corporation iliyosajiliwa hapa nchini iliomba kibali cha kawaida cha uwindaji na kukubaliwa.
Kampuni hiyo ilipata vibali vya watu wanane vya uwindaji wa wanyama wakiwemo kongoni, ngiri, pofu, na swala pamoja na aina ya ndege mbalimbali. Kibali hakikuhusisha wanyama kama twiga, simba wala tembo.
Alisema kufuatia kibali hicho tarehe 25 Septemba, 2015 zilikuja ndege tatu aina ya CI 30 UAS, 312, na kupata kibali namba TCAA/5055/21294 ya mizigo; ndege ya abiria L6RJI iliyopata kibali namba TCAA/5055/21295 na ndege nyingine ya abiria A9HRM 767 iliyopata kibali namba TCAA/5055/21300.
Ndege hizo zilikuwa na Mohamed Sheikh Mohamed Bin Rashid, Mfalme toka Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu akiambatana na msafara wa watu 137 na kutua katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA).
Alisema ujumbe huo wa watu ulifuata taratibu za kuingia nchini na kupata vibali halali vikiwemo vya uhamiaji na baadaye walielekea Loliondo.
Miongoni mwa watu hao walikuwemo watazamaji, wafanyakazi wa ndege hizo, watoa huduma wa mfalme huyo miongoni mwa wengine.
Alisema vibali vya uwindaji huo vimeipatia serikali dola za kimarekani 41,400 sawa na Tshs milioni 85.
Kwa mujibu wa Dkt. Meru, baadhi ya watalii hao pamoja na mfalme huyo waliondoka Septemba 29, 2015 huku baadhi ya maofisa wake wakiwa bado hapa nchini kwa ajili ya kukamilisha utaratibu wa kuhakiki wanyama na ndege waliowindwa na malipo ya serikali.
Dkt. Meru alisema uwindaji huo ulisimamiwa na maofisa wa jeshi la polisi, usalama wa taifa, maofisa wa kuzuia wanyama wanaokatazwa kuwindwa, maofisa wa halmashauri ya Loliondo na maafisa wa wizara kitengo cha kuzuia ujangili.
Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Bw. Herman Keraryo utalii wa kuwinda ni moja ya vyanzo vikubwa vya mapato si kwa Tanzania tu bali na nchi nyingine duniani.
Kwa mwaka jana tu, utalii huo uliingizia Wizara dola za Kimarekani milioni 18.
Alitaja faida nyingine kama kuwianisha idadi ya wanyama katika mapori na kuzuia ujangili.
<<NEXT 1>>
<<NEXT 2>>
<<NEXT 3>>
<<NEXT 4>>
<<NEXT 5>>
<<NEXT 6>>
↧
↧
MUME WANGU HANIFIKISHI KISAWASAWA
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:
1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi
2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu Udaku Blog kutafuta kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment!
↧
BALAA GANI LIMEWAKUMBA VIJANA WETU WA LEO>>>>HEBU JIONEE USHETANI HUU WANAUFANYA HUKO CLUBU>>>YANI HADI WATU WANAAAA...>>>>JIONEE>
↧
BAADA YA VIVA ROMA KUPATA MAPOKEZI HASI NA KUBUMA KWENYE VYOMBO VINGI VYA HABARI ACHIA MBALI SAKATA LA BASATA SASA ROMA MKATOLIKI AIBUKA NA HAYA TAZAMA HUMU ALICHOSEMA DUH>>
↧
FAIZA AMBANIA SUGU ‘BETHIDEI’ YA MWANAYE
Msanii ambaye ni mpenzi wa zamani wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally juzikati alimfanyia mwanaye Sasha pati katika siku yake ya kuzaliwa lakini cha ajabu hakumualika mzazi mwezake huyo.
![]()
“Unajua yule ni baba halali wa mtoto huyu na katika hali ya kawaida alitakiwa kumtakia hata heri ya kuzaliwa lakini hakufanya hivyo. Nahisi hata hakuwa anakumbuka siku hiyo muhimu ya kuzaliwa mtoto wake sasa mimi nisingeweza kumualika kwa sababu bila yeye maisha yanaendelea.”

Msanii ambaye ni mpenzi wa zamani wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally akiwa na mwanaye.
Pati hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa Faiza, Mkwajuni jijini Dar na kuhudhuriwa na watu mbalimbali ila Sugu hakuonekana eneo hilo.Baada ya kuiona hali hiyo, mwandishi wetu alimuuliza Faiza sababu za Sugu kutokuwepo kwenye siku hiyo muhimu ya mtoto wao ambapo alisema:“Unajua yule ni baba halali wa mtoto huyu na katika hali ya kawaida alitakiwa kumtakia hata heri ya kuzaliwa lakini hakufanya hivyo. Nahisi hata hakuwa anakumbuka siku hiyo muhimu ya kuzaliwa mtoto wake sasa mimi nisingeweza kumualika kwa sababu bila yeye maisha yanaendelea.”
<<NEXT 1>>
<<NEXT 2>>
<<NEXT 3>>
<<NEXT 4>>
<<NEXT 5>>
↧
↧
AISEE HATARIIII MASOGANGE AKUTWA USIKU MNENE ANAKULA BATA MAENEO YA DAR MPAKA KUKU WANAONA WIVU JIONEE MWENYEWE MAMBO YA USIKU HAYO AISEEE PICHA KIBAO ZIPO HUMU>>
↧
MKASA MZIMA WA MAROMBOSO KUGALAGAZWA KWENYE MATOPE NA DOGO ASLAY DUH KUMBE NDIO ILIKUWA HIVI AHAHAHA DAH DOGO ASLAY ALIMPA MITAMA YAKUTOSHA INAONEKANA!! TAZAMA HUMU>
This was happened on Maromboso Birthday you will be shocked when you see this photo's what friend and family member did to him!!
↧
ZITO ASEMA WAFUATAO HAWAFAI KATIKA SIASA WANASTAHILI KUFUNGWA JELA,,HII NDO LIST YA MAJINA YAO=

Mesothelioma Survival Rates About 40 percent of patients with mesothelioma survive the first year after diagnosis. That survival rate depends on many factors, including age, cancer stage, cancer type, race and gender. Long-term survivors attribute their success to treatment from a mesothelioma specialist, alternative medicine and nutritional changes. Average mesothelioma survival rates Mesothelioma claimed nearly 30,000 American lives between 1999 and 2010. About 40 percent of U.S. patients live to the one year mark. By the second year, about 20 percent of patients are still alive. And by the third year, the number is 8 percent. How is survival rate measured? Researchers describe the mesothelioma survival rate in several ways. They usually talk about it in terms of one-year survival, the percentage of people who survive for a year after diagnosis. Through their studies, they also look at longer survival times, including the number of people who live two years, three years and five years.
<<NEXT 1>>
<<NEXT 2>>
<<NEXT 3>>
<<NEXT 4>>
<<NEXT 5>>
<<NEXT 6>>
↧
UMEWAHI KUONA PICHA ZA MWANA DADA LILIAN MULI KUTOKA KENYA ANAE SUMBUA MIOYO YA WANAUME HUKO KENYA BASI PICHA ZAKE ZIKO HAPA>>.
↧
↧
PICHA: JB NA TEAM BAJAJI WAKIENDELEA NA KAMPENI ZA CCM>>>PICHA ZAIDI HAPA>
↧
DUNIA IMEKISHA HEBU JIONEE JIMAMA HILI LINAVYOWATEGA VIJANA AMBAO DAMU INAYOCHEMKA>
![]() |
<<NEXT 1>>
<<NEXT 2>>
<<NEXT 3>>
<<NEXT 4>>
<<NEXT 5>>
<<NEXT 6>>
![]() |
↧
MTINDO HUU MPYA WA WOLPER KUBEBELEA PICHA YA MGOMBEA URASI KWA TIKETI YA CHADEMA YAWA GUMZO MTANDAONI>>>>JIONEE>
↧