Quantcast
Channel: UTAMU SPECIALLY
Viewing all 572 articles
Browse latest View live

I'm Looking For A Husband To Settle Down With: Sabby Angel

$
0
0

Actress and singer Sabby Angel is tired being lonely and she is looking for a husband to settle with as she turns 25 on her birthday this October 21st.  Sabby has been in unsuccessful relationships in the past and this time the mother of one seems to be serious looking for a man to be her husband and not a boyfriend to waste her time.
Anyhow, who could be the lucky dude to date the screen goddess..?, watch this space for more...

DIAMOND AZIDI KUTOA MISHOOSHO DUH ABEBA TUZO NYINGINE MBILI HUKO HOLLYWOOD MAREKANI ZITAZAME HUMU NI BALAA WATU WATAPANDA MILIMAO MWAKA HUU HAHAHA>

KINGUO HICHI CHA LINNAH CHAMPAGAWISHA MWANDISHI WA HABARI ALIYEKUWA ANAMHOJI DUH JIONEE VIDEO MTU ALIVYODATA HAHAHA BALAA>>

PICHA YA ... ALIYOIWEKA JANA MWIGIZAJI HUYU WA ZAMANI KWENYE UKURASA WAKE MTANDAONI IMEWAACHA VIDUME WENGI WAKIJILAMBA MIDOMO>>>>JIONEE>>

$
0
0

 

Former Tahidi High actress Sarah Hassan, popularly known as Tanya, is without a doubt one of the most beautiful ladies in the local entertainment industry. 

Her curvaceous hot body and amazing looks have not only gained her thousands of fans across the country but have also made her a ‘team mafisi’ favourite, who flood her different social media pages to ‘eat with eyes’. 

Just recently, the s3xy actress gave her fans rare treat as she shared a hot photo on her Instagram page flaunting her n@ked beauty. 

Sarah, who was flaunting her straightened hair and make-up free face, captioned the picture below:

“I Don’t Straighten My Hair Often, But When I Do, Big Hair Is Part Of The Process���� #Nofilter #Nomakeup”

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

MTANDAO WA BADOO UNANIVUNJIA UCHUMBA WANGU JAMANI, NAOMBENI MSAADA

$
0
0


Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na soon tulikuwa tunasubiri jambo fulani ili mwezi wa 11 tufunge ndoa, kimsingi tunapendana sana, sijawahi hata siku moja ku-notice jambo lolote baya kati yetu linaloweza kuleta labda ugomvi na kutokuelewana, tupo vizuri na tunafuraha muda wote.
Kama kuna shida basi ni ndogo ndogo za kupishana kauli kibinaadamu. Kiufupi niseme yaani tupo kwenye pick ya juu kabisa ya mapenzi yetu. Wiki mbili nyuma mshikaji wangu mmoja akaniambia mbona kwenye Badoo naona picha za shemu kabadili jina kidogo, unaruhusu vipi anaingia huko? Sikuamini ikabidi ni download na kuanza kumsearch.

Ilinichukua kama siku tatu kuja kumpata kwenye Badoo na ni yeye kweli katumia jina lake lakini kimadoido. Nikahisi labda kuna mtu anatumia picha zake sio yeye, ingawa simu yake ina password kama yangu nikagundua kweli ameinstall Badoo kwenye simu yake, muda wote huo sijamwambia kitu nachunguza tu.

Nilichokifanya account yangu ya Badoo nikatafuta picha za jamaa wa costa rica sijui nikaziweka kama zangu na jina la uongo naishi mikocheni na ukiona hivi unaona mtu mambo safi. Nikaanza kumchokoza mambo basi tukawa tunachat nikaanza kumchomekea nampenda, nimependa picha zake na ninakaa Masaki.

Jamani wanawake ni wabaya kabisa. Akaanza ooh nina mchumba lakini tufanye siri, mara ananiponda kishenzi eti ndugu zake kama wanamlazimisha nimuoe, basi na mimi namchokonoa tu yaani anafunguka hadi aibu mengine siwezi sema hapa, in short anamaanisha I am nothing at all. Nikamuomba namba akanipa, ila yangu nikamwambia sio vizuri yeye kuwa nayo, Akanipiga mzinga wa elfu 50 nikamtumia fasta kwa kibanda ya mpesa ndio nikamchanganya kabisa.

Tukaendelea kuchat nikamuomba anitumie picha, namsifia kila ninacho mwambia natamani nione anajipiga ananitumia, jamani hizo picha unaweza kulia ukajiua, mtupu kama alivyozaliwa, mara apige k picha, mara maziwa yaani hakatai kitu, nikamuomba picha ya bwana wake akanitumia jinsi alivyo mshenzi, nikimsifia mbona handsome anaponda kinoma.

Naitwa majina yote matamu duniani hadi najionea wivu mwenyewe, kila nikiingia nakuta meseji kibao yaani ni i miss u, i cant wait to xxx with u. U have sex body nk nk. Kufikia hapo nikajua mchumba tena sina lakini nikasema ngoja niendelee kumpima, nikamchomekea mambo ya tigo akaruka sijawahi na sipendi, nikaanza kumchombeza nanini heee akaniambia labda atajaribu mara moja tu lakini anasikiaga inauma na nisi pizi ndani maana manii yakiingia eti atakuwa anawashwa na atakuwa anataka kila siku kuliwa tigo khaa!.

Wiki iliopita nikamtumia elfu 20 nikamwambia saa kumi kamili aje Sinza Hotel fulani atanikuta nimechukua chumba kabisa, nitakua namsubiria kaunta ya baa chini, mimi nikaenda nikabana sehemu, akaja hadi kaunta akakaa we simu yangu hana sasa, nikamtumia tu meseji Badoo kwamba baby sorry vikao vimenibana sana sitaweza kuja ndio akaondoka. Jamani niliumia sana sana lakini sasa roho imeisha kubali, hata kama kuchepuka lakini sio kule jamani, mtu hata humjui.

Na je huko Badoo kashatongozwa na kugongwa na wangapi, maana Badoo ni kujiuza tu hakuna friends wala followers kule, wewe unatupia picha unasubiri atakayekolea mnaanza chat. Amenidhalilisha sana sana jamani, sijawahi kumkosea lolote hadi anivue nguo vile mbele ya mtu hata asiyemjua na anavyojua kujipretand sasa, nimuulize ulikuwa wapi yaani majibu anayonipa yananipa picha ndio hunidanganya hivi kila siku.

Hadi sasa sijamwambia na sijui nifanyeje lakini mimi na yeye basi maana sasa ni wiki hata hisia sina tena mzee hashtuki kabisa mpaka ananiuliza kunani? Namjibu naumwa tu. Nataka nimfanyie kitu mbaya, hizo picha za uchi atazisoma mitandaoni na kwa shigongo na itakuwa mwisho wetu. Na sitakaa nimwambie ni mimi nilikuwa nachat naye nitaacha picha ziongee.

Naomba maoni yenu wadau


By Mdau wa JF

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

NUH AMKOSHA NAY WAMITEGO MPAKA KUFIKIA KUFANYA JAMBO HILI DUH MSIMU HUU KAZI IPO AISEE>>

KAMA HAUMFAHAMU>>HUYU NDIYOO MTILDA HIPS>>>ANATIKISA MDANDAO KWA KUWA NA HIPS NATURAL..ZAIDI MCHEKI HAPA MWENYEWE>>>

PICHA HIZI ZA GIGI MONEY ZINATATUIZO GANI ? MBONA VIDUME WANAPIGA KELELE HUKO INSTA>>>HEBU ZICHEKI HAPA UONE KWANINI?>>


HABARI Kuhusu Helikopta ya CCM Iliyoanguka Mbugani Ikiwa na Mbunge Deo Filikunjombe

$
0
0

Usiku wa kuamkia leo October 16 2015 majukwaa  ya siasa Tanzania yametawaliwa na ajali ya Helikopta ambayo imeanguka na kulipuka kwenye mbuga ya Wanyama ya Selous ambapo Waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu alithibitisha kwamba mmoja wa waliokuwemo ndani ni Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (CCM).

Kupitia  ukurasa  wake  wa  Twitter,Nyalandu  aliandika;
"Tumetuma vikosi vya maafisa na maaskari katika eneo la Selous kulikotokea ajali ya helikopta katika harakati za uokozi, ajali ya helikopta imetokea katika kitalu R3 ndani ya mbuga ya Selous na mashuhuda wanasema ilianguka na kulipuka ng’ambo ya mto Ruaha

"Mashuhuda wa ajali ya helikopta iliyotokea Selous walikuwa kitalu R2 na walishuhudia ikianguka na kulipuka ng’ambo ya mto Ruaha Kitalu R3, Maafisa na Maaskari wanaelekea eneo la tukio kutokea Msolwa na Matambwe na tumeagiza vikosi vilivyo kwenye doria Selous kushiriki uokoaji

"Mashuhuda wa ajali ya helikopta Selous walikuwa Kitalu R2 wanasema ilianguka baada ya majira ya saa 12 jioni na kulipuka, serikali kupitia wizara ya maliasili na utalii inachukua hatua zote kuwafikia wahanga na majeruhi wa ajali ya helikopta Selous usiku huu

"Nimeagiza section 2 zenye askari 16 kutoka Matambwe na Msolwa (Selous) kwenda eneo la tukio, RPC Morogoro na mkuu kanda ya Msolwa (Selous) wanashirikiana, hatujui kitakachokuwa kimewapata wasafiri ndani ya helikopta iliyoanguka akiwepo Mh, Filikunjombe, tuungane kuwaombea kwa Mungu"

Katika taarifa nyingine kutoka upande wa CCM iliyotolewa na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba mida ya saa sita usiku ilisema:  "Tumesikia habari za chopa kuanguka huko Selous. Mungu aepushe kusiwe na majeruhi. Chopa zote zinazotumiwa na CCM kwenye kampeni ziko salama"

Baadae aliandika :"Kwakuwa ilisemekana kuwa chopa ya kampeni ya CCM imeanguka, tulifuatilia/kubaini/kuripoti kuwa tulizokodi kama Chama hakuna iliyoanguka". Hiyo ndio ilikua tweet ya mwisho kuandikwa na January Makamba usiku lakini badae aliretweet kilichoandikwa na Waziri Nyalandu na Zitto Kabwe.

Zitto aliandika:"Naomba utulivu.(1) ajali ya helkopta imethibitishwa (2) kuwaka hakujathibitishwa (3) ndugu yangu Deo alikuwamo (4) hakuna uthibitisho wa madhara, naomba utulivu mpaka tupate taarifa rasmi zilizothibitishwa na mamlaka husika, naomba sana hilo ili kuepuka sintofahamu"

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>.

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

HII NDIO HABARI NYINGINE YA MJINI DUH KAJALA NA QUICKROCKA WATU WASHAJICHORA MPAKA TATOO JIONEE HUMU TUKIO KAMILI>

DU KWA HAYA MAZOEZI YA LULU HAKIKA NYOSSO AKIKATIZA HAMWACHI HATA KIDOGO

MTANGAZAJI NA DI WA ZAMANI WA CLOUDS FM DJ FETTY AMESHEA PICHA HIZI AKIWA MAMNONI NA KUTANA NA KUKURACHO AKIFANYA YAKE>>>>JIONEE PICHAZ NINI KILITOKEA>

MANENO HAYA ALIYOSHUSHA ZARI KWA DIAMOND WAKIYAONA UPANDE WA PILI DUH SUPU YA MALIMAO ITAHUSIKA HAHAHA JIONEE>>

PICHA HIZI ZA WOLPER ZAWACHANGANYA WATU MITANDAONI DUH SIO KWA KUKWIVA HUKU DUH HUO UP@&$&#JA SASA MMMH JIONEE HUMU>>>

HAYA NDIYO MANENO YA ZARI BAADA YA DIAMOND KUNYAKUWA TENA TUZO YA MSABNII BORA WA AFRICA>>>HAKIKA MTAA WA PILI WANALO>>>>SOMA HAPA>


DUH UKISOMA MKWARA HUU ALIOWAHI UPIGA SHILOLE KWA MADEMU WANAO MVIZIA ASALI WA MOYO WAKE NUH MZIWANDA MMH HAUTAMINI JIONEE MWENYEWE ALICHOSEMA HUMU DUH>>>

WANAUME JE MNAJUA KITAKACHOTOKEA KATIKA UUME WAKO PINDI UKIAMUA KUTUMIA PARACHICHI KWA MUDA WA SIKU 5 MFURULIZO? KAMA HUJUI INGIA HAPA UJIONEE RAHA SANA KUZALIWA MWANAUME

$
0
0
avocado
You’ve probably heard the adage “an apple a day keeps the doctor away.” While it’s true that apples are extraordinarily good for you, what you really should be eating every day is an avocado.
This wonder fruit is so full of health benefits that you will be amazed why you’ve never made eating them a regular habit and if you are concerned about weight loss and keeping your metabolism high, the avocado can help in some very surprising ways. Here is what happens to your metabolism when you start a regular diet of avocados.
Your Liver Produces More Glutathione
If you eat an avocado a day, your liver will produce more of the antioxidant Glutathione, which is the number one antioxidant, but how it helps your metabolism is that it also contains magnesium which is a key factor in more than 300 metabolic processes.
You Get Monounsaturated Fats
Avocados are terrific because they provide you with more than 100 calories of monounsaturated oleic acid, and those fats are used as slow burning energy which helps your metabolism. When you take in saturated fat, you don’t get any benefit because they are unlikely to be used to burn for energy and are stored instead.
You Get Omega-9 Fatty Acids
Even though an avocado has about 160 calories, they also contain omega-9 fats. In fact, avocados are one of the best sources on the planet for these fats, and they have been studies extensively over the past decade or so.
These omega-9 fatty acids have been shown in studies to reduce the levels of LDL cholesterol, while raising the levels of HDL, which is the good cholesterol. Also, omega-9 fats are good at absorbing vitamins and antioxidants from the foods that contain them so you get those as well.
You Get Satisfied
Besides the other benefits that have been discussed so far, avocados can also help you with controlling hunger, which obviously affects your metabolism and your weight loss. The way that avocados improve what nutrients you are getting from a meal helps you to control your hunger and lose weight faster. Plus, since they contain so much water they keep you hydrated which is also an important part of the metabolic process.
You Get Better Insulin Control
Another major factor in metabolism is the glucose levels in your body. Insulin is extremely powerful, removing any excess glucose so that you don’t suffer from serious problems.
If there is excess glucose it can be stored in the liver and in your muscle tissue, but after filling those areas up as much as possible, insulin removes the glucose to fat cells. This storage can lead to low blood sugar, which not only can lead to diabetes but also makes you want carbs, which is detrimental to your weight loss.

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

ZIFUATAZO NI DALILI HIZI 9 ZA MWANAMKE UKIONA ANAKUFANYIA MARA KWA MARA UJUE NI ANAKUPENDA KWA DHATI TOKA MOYONI LAKINI ANAOGOPA KUKWAMBIA KUTOKANA NA UTAMUONA ATI YA KWAMBA NI KICHECHE INGIA HAPA UJIONEE DALILI HIZO=

$
0
0




Maybe not in the pecking order but I strongly believe (taking a cue from stories of several successful and happy married women), these points are really 7 Areas A Lady Who Truly Sees You As A Prospective Hubby And Loves You Looks At. 

1. Your Dreams and Goals 
She will ask you severally for your dreams and goals: short term or long term before she begins to ask for other infinitesimal things. Your goal in life means more to her. Yes.
2. Your Role In Her Life And Career 
Speaking of her asking you for your dreams and passions, she actually wants to know your role in her life. She wants to be sure you will be there for her as she will do vice versa.
3. Your Spiritual Leadership Or Control.
Trust me, if she loves you, she would ask from flats to grants cutting across your religion to your personal belief of "God". Ladies needs security, spiritual security inclusive.
4. Your Mental State 
If she loves him, she would not turn a blind eye to his mental capacity. She will try to influence him for good. Love seeks change.
5. Your Past life 
Love isn't stupidity. She loves so seeks to hear of your exes and past relationships. If she doesn't ask or bother to, hmm...
6. Your Financial worth and Target 
Yes, this is crucial too. You both love each other and so it's her obligation to ask how much you take home monthly. That would help her plan and make her choices, wisely. Money is vital too.
7. Your Family
This is very pivotal. She would want to see your family: siblings or even parents. If she has no interest in seeing them but just you alone, don't feel special, it's not a good sign. Selah.
The point of this thread is, if that Lady really loves, these Seven Points are the first she'll consider 

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

WANAUME MPO? KAMA MPO MNATAKIWA KUINGIA HAPA KWA MAANA KAMA UNATAKA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO VIZURI KILA SIKU NA AWE ANATAKA DUDU KILA SIKU NI LAZIMA UTUMIE MCHANGANYIKO WAMATUNDA HAYA KILA SIKU BAADA YA SIKU 6

$
0
0
melon
There are several health benefits of Water-melon but let stress on the 8 major benefit of it.
#1. Watermelon contains some substances that gives the body protection against Cancer. It is antioxidants and has flavonoids which helps in protecting the body from Caners like, breast, colon, and so many others.
#2. The vitamins present in Watermelon treats infections in the body. It also helps in treating joint inflammation.
#3. Important element like Potassium and Manganese works on blood pressure regulation. As well, the antioxidants present in Watermelon helps maintain the blood vessels against sclerosis
#4. Watermelon removes salt accumulation from the body and also reduce the concentration of Uric acid in the blood thereby reducing the risk of having kidney stone due to presence of Potassium.
#5. Another importance of Watermelon is it cures heart problems. As stated, Watermelon contain abundant potassium which is needed to cure heart diseases. It keeps your heart healthy.
#6. Watermelon reduces the high effect of Ultra Violent ray, UV, the presence of a pigment called Lycopene in Watermelon protect the body against Ultra Violent rays.
#7. Most important too, it gives the brain refreshment. Watermelon increases brain power as it contains a good amount of Vitamin B6 and water which is most important to the brain
#8. Finally, it is anti-ageing. It makes your body, skin, hair and parts of your body look young and fresh.

<<NEXT 1>>

<<NEXT 2>>

<<NEXT 3>>

<<NEXT 4>>

<<NEXT 5>>

<<NEXT 6>>

MAGUFULI AITIKISA MWANZA, HAIJAWAHI TOKEA!

$
0
0
mshakaji akipiga push up wakati msafara ukipita
Njemba mmoja akipiga push up wakati msafara wa Dk Magufuli ukipita.mdada akimfagilia njia magufuli
Dada akimfagilia njia MagufuliAfande akimtoa barabarani mdada aliyekuwa akifagia barabara ili magufuli apite pakiwa safi
Afande akimtoa barabarani mdada aliyekuwa akifagia barabara ili Magufuli apite pakiwa safi.magufuli akimwaga sera
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli akimwaga sera kwa wakazi wa Mwanza katika Viwanja vya Furahisha jijini humo jana.
watoa huduma ya kwanza walikuwa na kazi ya ziada ya kuwaokoa waliobanwa na kupoteza fahamu
Kutokana na msongamano mkubwa wa watu mdada huyu alikosa hewa na kuzirai.Temba 'kushoto' na Chegge wakikamua
Chege na Temba wakifanya yao jukwaani.sehemu ya umati uliofurika uwanjani hapo
Umati wa watu waliofika katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana wakimsikiliza Dk Magufuli.
jamaa wakiwa kwenye Tingatinga ambalo linawakilisha alilopewa magufuli kwaajili ya kazi zake za umahiri
Jamaa wakiwa kwenye Tingatinga ambalo linaashiria jina alilopewa Magufuli "Tingatinga" kwa umahiri wake wa utendaji kazi.bibi huyu ni miongoni mwa umati mkubwa wa watu waliozikubali sera za magufuli
Bibi huyu ni miongoni mwa umati mkubwa wa watu waliozikubari sera za Magufuli.
kutokana na msongamano mkubwa wa watu mdada huyu alikosa hewa na kuzimia-001
Baada ya kukoswa hewa dada huyu naye alidondoka, watu wa huduma ya kwanza wakimsaidia.
 
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli jana alifanya kufuru na pengine kuvunja rekodi ya mgombea urais aliyewahi kufanyiwa mapokezi makubwa na wananchi mkoani hapa (Mwanza).
Magufuli alitua kwenye uwanja wa ndege wa jijini hapa na kupokelewa na umati mkubwa wa watu ambapo baada ya kuanza kuelekea Viwanja vya Furahisha kufanya mkutano wa kampeni za kuomba ridhaa kwa wananzchi, alilazimika kusimama njiani vituo kadhaa kutokana na kuzuiwa njiani na wananchi hao waliokuwa na shauku na kuongea nae na kusikiliza sera zake.
Akielekea viwanja vya Furahisha aliopoandaliwa jukwaa la kumwaga sera zake, Magufuli alilazimika kusimama maeneo ya Pasiansi, Nyamanoro, Kitangiri, Kona ya Bwiru ndipo akafika Viwanja vya Furahisha na kukuta nyomi la watu lililokuwa likimsubili.
Akiwa kwenye mkutano huo Magufuli aliwahidi wakazi hao serikali yake kununua meli mbili mpya na kubwa kwa ajili ya kutoa huduma kati ya Mwanza, Bukoba na Musoma.
Magufuli pia aliwahidi wakazi hao kuwatengenezea reli ya 'standard gauge' itayoweza kuhimili mabehewa yenye mizigo mizito ambayo itakuwa kati ya Mwanza, Kigoma, Tabora, Mpanda mpaka Dar.
Magufuli aliwahidi wakazi hao kuwajengea daraja kubwa likakalounganisha kivuko cha Kigongo na Busisi ili watu na magari yapite yenyewe. Magaufuli aliwahidi wakazi hao kuifanya mwanza kuwa jiji la kibiashara na kuwa Geneva ya Afrika.
Viewing all 572 articles
Browse latest View live